Baada ya mapumziko Dubai, kikosi cha Yanga leo kinaendelea na safari kuelekea Algeria, tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Kabylie utakaopigwa Ijumaa, Novemba 28.
Yanga itatua Algiers baadae leo na jioni kuanza maandalizi yao kuelekea mtanange huo ambao Wananchi wanazihitaji alama tatu ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali.









ADVERTISE HERE