Goncalves atua Zanzibar na matumaini kibao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2025
Goncalves atua Zanzibar na matumaini kibao

Kikosi cha Yanga kiliwasili visiwani Zanzibar mapema leo tayari kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kwanza hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya AS FAR Rabat ya Moroco, utakaopigwa Jumamosi, Novemba 22 katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar

Yanga imeanza kujifua Zanzibar jioni ya leo huku mkufunzi wa timu hiyo Pedro Goncalves akiwa na matumaini makubwa na kikosi chake.

Goncalves amesema licha ya kubaki na siku chache, wameweka nguvu kutengeneza utayari wa wachezaji kiakili na mbinu kulingana na ubora wanaoujua wa wapinzani wao.

"Tuna siku chache kweli, lakini tuna wachezaji wenye uzoefu, naamini hawa wengine watafika kwa wakati wakiwa salama, tutawatengeneza kisaikolojia na kuongeza mbinu kadiri muda utakavyotosha ili waweze kukabiliana na wapinzani wetu,” alisema Goncalves.

Yanga imetua Zanzibar bila ya baadhi ya nyota wake waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa ambapo taarifa kutoka ndani ya uongozi ilidokeza kuwa wachezaji hao watawasili Zanzibar wakati wowote.

Wachezaji hao ni Celestine Ecua, Lassine Kouma, Prince Dube, Duke Abuya (Kenya) na Djigui Diarra.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’