Katika maandalizi kuelekea mchezo wa kwanza wa makundi CAFCL, Yanga leo ilicheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya KMC na kupoteza kwa mabao 3-2.
Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves alitumia mchezo huo kuwapa nafasi wachezaji wake ambao hawako kwenye majukumu ya timu za Taifa. Maxi Nzengeli na Moussa Balla Conte walifunga mabao Yanga.








ADVERTISE HERE