Andabwile akanusha uzushi wa mitandaoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2025
Andabwile akanusha uzushi wa mitandaoni

Kiungo wa Yanga Aziz Andabwile amekanusha taarifa zilizoripotiwa na chombo kimoja cha habari na kupewa uzito mitandaoni kuwa anaidai klabu ya Yanga fedha za usajili.

Andabwile amesema madai hayo sio kweli, alishalipwa stahiki zake huku akiwaomba radhi wanachama na mashabiki waliopata usumbufu kutokana na 'uzushi' huo

"Habari Wananchi. Nipende kuchukua nafasi hii kuliweka sawa jambo linaloendelea mtandaoni kuhusu mimi na Klabu yangu ya Yanga.

Mimi ni mchezaji wa Young Africans Sports Club na haki zangu za kimkataba tayari nilishalipwa.

Niwaombe ndugu waandishi wa Habari kuwa na vyanzo sahihi vya taarifa ili kutoleta taharuki kwa wachezaji kwenye Timu zao

Mwisho, niwaombe radhi wote ambao wamekwazika na sintofahamu iliyojitokeza," aliandika Andabwile kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’