Mkutano Mkuu wa dharura wa Wanachama wa klabu ya Yanga uliokuwa ufanyike Juni 17 2018, amerudishwa nyuma kwa wiki moja na sasa utafanyika Jumapili ya Juni 10, 2018.
Uongozi wa Yanga umewataka Wanachama kuhakikisha wamelipia ada za kadi zao kwa wakati kwani wenye kadi zisizo hai hawataruhusiwa kushiriki.
Wanachama wote wenye kadi mpya na zile za zamani wote wataruhusiwa ili mradi tu kadi hizo ziwe hai.
Uongozi wa Yanga umesema utatangaza ukumbi utakapofanyika Mkutano huo baadae.

ADVERTISE HERE