Ligi Kuu kurejea Novemba 08

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2025
Ligi Kuu kurejea Novemba 08

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC itarejea kuanzia Novemba 8, 2025

Mchezo namba 340 kati ya Pamba Jiji dhidi ya Singida Black Stars sasa utafanyika Novemba 8, 2025 saa 10:00 alasiri katika uwanja wa CCM Kirumba uliopo mkoani Mwanza.

Aidha mchezo namba 338 kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba umepangwa kupigwa Novemba 8, 2025 saa 1:00 usiku katika uwanja wa Mej Jen Isamuhyo uliopo mkoani Dar es Salaam.

Mchezo namba 337 Yanga dhidi ya KMC FC sasa unatarajiwa kupigwa Novemba 9, 2025 saa 10:00 alasiri katika uwanja wa KMC Complex uliopo mkoani Dar es Salaam

Pia mechi namba namba 339 kati ya Namungo dhidi ya Azam Fc sasa utafanyika Novemba 9, 2025 saa 1:00 usiku katika uwanja wa Majaliwa uliopo mkoani Lindi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’