Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga ambao awali ulipangwa kupigwa Novemba 01, imesogezwa mbele hadi Novemba 08
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma
Kocha Pedro Goncalves sasa atakuwa na angalau wiki moja ya kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo huo
Juzi Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugara na kufikisha alama 7 ambazo zimewafanya wasogee hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi
ADVERTISE HERE