Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa (CAFCL) dhidi ya Silver Strikers
Yanga imehitimisha maandalizi yake Avic Town tayari kwa mtanange huo ambao Wananchi wanahitaji matokeo ya aina moja, ushindi tu wa angalau mabao mawili ili kutinga makundi







ADVERTISE HERE