Ngoma kuibukia Azam FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2018
Ngoma kuibukia Azam FC
Kuna taarifa kuwa aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma yuko mbioni kutua Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Ngoma ameichezea Yanga michezo mitatu msimu huu na kufunga mabao mawili, amekuwa majeruhi tangu mwezi Septemba 2017.

Imeelezwa kuwa baada ya kumalizana na uongozi wa Yanga mchezaji huyo amekuwa kwenye mazungumzo ya siri na Azam FC ili aweze kuitumikia timu hiyo msimu ujao.

Huenda akaungana na kocha Hans van Pluijm anayeondoka Singida United na kutua Azam FC.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’