Pacome afuzu kombe la Dunia mbele ya Abuya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2025
Pacome afuzu kombe la Dunia mbele ya Abuya

Nyota wa Yanga Pacome Zouzoua na Duke Abuya walikuwa uwanja jana wakati mataifa yao Ivory Coast na Kenya yakichuana katika mchezo wa kuhitimisha kampeni ya kusaka tiketi ya michuano ya kombe la Dunia 2026

Nyota hao wote waliingia katika kipindi cha pili ambapo Pacome aiingia dakika ya 61 huku Abuya akiingia dakika ya 67

Pacome ndiye aliyetoka na furaha uwanjani kwani Ivory Coast iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 na hivyo kujihakikishia kufuzu kwa michuano ya kombe la Dunia itakayofanyika mwakani 2026 huko Marekani

Pacome anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka ligi kuu ya Tanzania Bara taifa lake kufuzu kwa michuano ya kombe la Dunia

Sasa anayo nafasi ya kuandika historia kubwa zaidi kwa kushiriki michuano hiyo itakayofanyika Juni 2026

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’