Ecua azidi kung'ara Chad

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2025
Ecua azidi kung'ara Chad

Winga wa Yanga Celestin Ecua ameendelea kung'ara katika kikosi cha timu ya Taifa ya Chad jana akifunga bao lake la pili katika mechi ya pili

Licha ya Chad kupoteza kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Afrika ya Kati katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026, Ecua alifunga bao la kwanza katika mchezo huo ambapo kiungo mwingine wa Yanga Lassine Kouma pia alianza

Ecua na Kouma wote walibadili uraia kutoka nchi zao za awali Ivory Coast na Mali

Ecua tayari ameitumikia Chad katika mechi mbili bao lake la kwanza alifunga katika mchezo dhidi ya Ghana

Kouma nae ametumika katika mechi mbili zote akianza katika kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’