Pacome uso kwa uso na Abuya kufuzu kombe la Dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2025
Pacome uso kwa uso na Abuya kufuzu kombe la Dunia

Kesho Jumanne nyota wawili wa Yanga Pacome Zouzoua na Duke Abuya watakuwa wapinzani uwanjani wakati wakizitumikia timu zao za Taifa

Pacome akiwa na Ivory Coast atakuwa mwenyeji wa Abuya ambaye yuko katika kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars'

Ivory Coast watafuzu michuano ya kombe la Dunia 2026 kama watashinda mchezo huo huku upande wa Kenya ukiwa mchezo wa kukamilisha ratiba tu

Baada ya kung'ara katika mchezo uliopita dhidi ya Shelisheli, Pacome akicheza dakika zote 90, huenda kesho akapewa nafasi nyingine

Abuya ni miongoni mwa wachezaji tegemeo katika kikosi cha kocha Ben McCarthy hivyo tutarajie kumuona dimbani pale Ivory Coast

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’