Pacome acheza dakika 90 Ivory Coast ikishinda 7-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2025
Pacome acheza dakika 90 Ivory Coast ikishinda 7-0

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo ameandika historia akiiichezea timu yake ya Taifa ya Ivory Coast kwa mara ya kwanza

Pacome amecheza dakika zote 90 akihusika moja kwa moja katika ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Shelisheli

Katika kikosi kilichocheza, Pacome ni mchezaji pekee ambaye anacheza ndani ya bara la Afrika, akitokea klabu ya Yanga

Hii unaweza kusema ameiwakilisha vyema klabu yake ya Yanga, ikiwa pia ni hatua muhimu katika kutimiza malengo yake

Hongera profesa wa mpira...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’