Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Septemba 2025 akiwashinda Anthony Trabi wa Singida BS na Mohamed Bakari wa JKT Tanzania
Diarra ametwaa tuzo hiyo baada ya kuonyesha mwendelezo wa kiwango kizuri katika mechi ambazo Yanga ilicheza Septemba
Tuzo ya kocha wa mwezi imechukuliwa na Ahmed Ali wa JKT Tanzania

ADVERTISE HERE