Bacca afungiwa mechi tano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2025
Bacca afungiwa mechi tano

Beki wa Yanga Ibrahim Bacca amefungiwa mechi tano kwa kosa la kumkanyaga mchezaji wa Mbeya City Ibrahim Ame katika mchezo wa ligi kuu uliozikutanisha timu hizo mapema wiki hii

Mwamuzi wa mchezo huo Omary Mdoe nae amesimamishwa kutochezesha mizunguuko mitano baada ya kushinda kutafsi vyema sheria katika mchezo huo

Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi imetoa adhabu hiyo kufuatia tukio la Mdoe kuinyima Yanga mkwaju wa penati baada ya Matheo Anthony kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari pamoja na kutochukua hatua tukio la Bacca dhidi ya Ame 

Mkurugenzi wa mashindano wa Yanga Ibrahim Mohammed na walinzi wa uwanjani wa Yanga (Stewards) Soudy Hussein na Shamte Mkumba, wamefungiwa kwa kipindi cha miezi mitatu kila mmoja

Wote wanadaiwa kuwazuia maafisa usalama wa TFF kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa kanuni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’