Vijana wa Ngorongoro Heroes warejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2018
Vijana wa Ngorongoro Heroes warejea
Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes kimewasili leo nchini kutokea Mali ambako walicheza mchezo wa marudiano dhidi ya Mali kusaka tiketi ya michuano ya AFCON 2019.

Ngorongoro Heroes walipoteza mchezo huo kwa kulazwa mabao 4-1 hivyo kuondolewa kwenye raundi ya kwanza kwa jumla ya mabao 6-2.

Timu hiyo inayonolewa na kocha Ammy Ninje ilipoteza mchezo wa nyumbani kwa kufungwa mabao 2-1.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’