Jana ilikuwa siku ya majonzi kwa mashabiki wa Yanga ambapo shabiki maarufu wa klabu hiyo Mussa Yusuf Bao aliyefariki siku chache zilizopita, alizikwa Kigamboni
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliwaongoza Wananchi katika maziko ya Bao ambaye umaarufu wake ulitokana na mapenzi yake makubwa kwa Yanga licha ya kuwa hakuwa na uwezo wa kuzungumza 'bubu', wengi walimfahamu kwa jila la Bubu wa Yanga
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, peponi AMEN...





ADVERTISE HERE