Kuelekea mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wiliete Sc ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itazungumza na wanahabari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam, saa 5 asubuhi

ADVERTISE HERE