Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa ligi kuu hapo jana, Yanga haina muda wa kupoteza kwani leo imerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa (CAFCL) dhidi ya Wiliete Sc
Jumamosi Septemba 27 Yanga itakuwa mwenyeji wa Wiliete katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni










ADVERTISE HERE