Kikosi cha Yanga jioni ya leo kilikamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz amewaandalia Wananchi burudani itakayoambatana na ushindi katika mchezo wa kwanza wa ligi msimu huu











ADVERTISE HERE