Baada ya ushindi muhimu wa mabao 3-0 dhidi ya Wiliete Banguela, kikosi cha Yanga kimeondoka nchini Angola kurejea Tanzania
Kabla ya mchezo wa marudiano utakaopigwa Septemba 27, Yanga inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji utakaopigwa Septemba 24









ADVERTISE HERE