Mshambuliaji Donald Ngoma na kiungo mpya Raphael Daudi wamejiunga na kikosi cha Yanga kilicho kambini mkoani Morogoro.
Wachezaji hao leo wameungana na wenzao katika mazoezi ya asubuhi kwenye viwanja vya Highlands Park.

Yanga imeingia siku ya tano leo katika kami hiyo maalumu kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa VPL pamoja na mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Simba Agosti 23.

ADVERTISE HERE