Baada ya kumnyoa 'mtani' kwa mara ya sita mfululizo, kikosi cha Yanga Alfajiri ya leo kimeondoka nchini kuelekea Angola
Ijumaa, Septemba 19 Yanga itakuwa ugenini kuikabili Wiliete Banguela katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika









ADVERTISE HERE