Tiketi za Mzunguuko SOLD OUT

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2025
Tiketi za Mzunguuko SOLD OUT

Wale waliokuwa wakisubiri kukata tiketi siku ya kesho Ijumaa hii ni habari mbaya kwao!

Ndio! Wananchi wamemaliza tiketi zote za Mzunguuko, na hii ni rasmi sasa uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa FULL HOUSE

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema utaratibu unaandaliwa kwa mashabiki ambao hawatapata tiketi kushuhudia Tamasha hilo pale uwanja wa Uhuru

Yanga imepania kujaza viwanja viwili hapo kesho...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
10h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’