Leo Yanga iliendesha zoezi la kuchangia damu nchi nzima ambapo jijini Dar es salaam zoezi hilo lilifanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani
Wananchi wamejitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo ambalo lilitamatishwa na utaratibu wa kunywa supu







ADVERTISE HERE