Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza mabadiliko ya ukumbi ambao Mkutano Mkuu wa mwaka unatarajiwa kufanyika Septemba 07, 2025
Mkutano huo utafanyika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kuanzia saa 2 asubuhi
Yanga imewataka viongozi wote wa Matawi yaliyokidhi vigezo kuhudhuria Mkutano huo unaofanyika kwa mujibu wa Katiba ya Yanga

ADVERTISE HERE