Hamasa na shamrashamra za Wiki ya Wananchi zimezinduliwa Mbagala Zakhiem leo ambapo mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza katika uzinduzi huo ulioambatana na burudani mbalimbali
Uzinduzi wa Wiki ya Wananchi ni mwanzo wa shamrashamra kuelekea siku kubwa ya Wananchi itakayohitimishwa Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa





ADVERTISE HERE