Tiber katika rada za Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2018
Tiber katika rada za Yanga
Winga wa Ndanda FC John Tiber ni miongoni mwa wachezaji wanaowindwa na Yanga kwa ajili ya msimu ujao, imefahamika.

Tiber aliyen'gara kwenye kikosi cha Ndanda msimu huu amekuwa akifuatiliwa kwa karibu na mabosi wa usajili wa Yanga ili aweze kuwa moja ya maingizo mapya kwenye kikosi cha mabingwa hao wa zamani.

"Kipindi cha usajili kinakuja na kinafunguliwa hivi punde hivyo muda ukifika tutasema nini kinaendelea.

"John Tiber ni mmoja ya vijana wanaofanya vizuri na anaweza kuisaidia Yanga hivyo tusubiri hadi dirisha lifunguliwe kisha tuone,Ò€ amesema Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten alipoulizwa juu ya taarifa za mchezaji huyo kutakiwa Yanga.

Wakati ligi kuu ya Vodacom ikitarajiwa kufikia tamati Jumatatu ijayo, tayari vuguvugu la usajili limeanza kushika kasi.

Dirisha la usajili linatarajiwa kufunguliwa mapema mwezi Juni na kufungwa mwanzoni mwa mwezi wa nane.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’