Stars yaifuata Congo, mechi ya kufuzu kombe la Dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Sep 2025
Stars yaifuata Congo, mechi ya kufuzu kombe la Dunia

Kikosi cha Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kimeondoka nchini Alfajiri ya hii leo kwenda nchini Congo Brazzaville tayari kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Congo Brazzaville.

Mchezo huo utapigwa Septemba 5, 2025 kwenye Uwanja wa Alphonse Massemba-Debat kuanzia saa 1:00 Usiku.

Stars ipo kundi E, ikishika nafasi ya pili ikiwa na pointi 9 katika mechi 5, ikiongozwa na Morocco yenye pointi 15, Zambia nafasi ya tatu pointi 6 sawa na Niger iliyopo nafasi ya 4 huku Congo Brazzaville ikishika mkia ikiwa na pointi 0 katika mechi tano ilizocheza.

Baada ya mchezo huo, Stars itarejea Tanzania kuumana na Niger katika mchezo utakaopigwa Jumanne Septemba 09 dimba la New Amaan Complex, Zanzibar

Yanga itaendelea kuwakosa wachezaji wake 6 ambao wamejumuishwa katika kikosi hicho

Wachezaji hao ni Mohammed Hussein, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya, Clement Mzize na Edmund John

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’