Katika kuelekea maandalizi ya uzinduzi wa wiki ya Mwananchi, Mkurugenzi wa Wanachama na Masoko wa Yanga Ibrahim Samwel ameongoza msafara wa hamasa mkoani Mbeya ambapo alizindua matawi Wilayani Kyela. Matawi hayo ni pamoja na Bondeni, Talaika na Kisyosyo





ADVERTISE HERE