Kambi Avic Town imezidi 'kunoga'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2025
Kambi Avic Town imezidi 'kunoga'

Wachezaji wa Yanga waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jana waliripoti kambini Avic Town kujiunga na wenzao ambao wanaendelea na pre-season

Nahodha msaidizi Dickson Job, Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya, Clement Mzize na Shekhan Khamis wote wamerejea wakiwa tayari kwa mikiki mikiki ya msimu 2025/26

Hata hivyo huenda wachezaji hao pia wakajumuishwa tena katika kikosi cha Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu kombe dunia dhidi ya Congo Septemba 05 na Niger Septemba 09

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’