Kikosi cha Yanga Princess jana kilianza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu 2025/26
Baada ya misimu mitatu ya kujenga kikosi, msimu huu Yanga Princess inakwenda kupambana kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake
Katika dirisha hili Yanga Princess imefanya maboresho muhimu ikiwarejesha baadhi ya nyota wake waliokuwa wametimkia Simba Queens kama Winkate Kaari na Precious Christopher
Mkufunzi wa Yanga Princess ameweka wazi malengo ya msimu huu ni kushindania kila taji





ADVERTISE HERE