Taji la ligi kuu ya Vodacom walilokabidhiwa Simba juzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli msimu huu ni jipya baada ya lile la mwanzo kuchukuliwa moja kwa moja na Yanga.
Yanga ililibeba taji hilo moja kwa moja baada ya kulitwaa kwa misimu mitatu mfululizo, 2014/15, 2015/16 na 2016/17.
Licha ya kukumbwa na changamoto nyingi msimu huu, lakini hakika Yanga inabaki kuwa timu yenye mafanikio ya kipekee katika soka la Tanzania.
Viongozi wa Yanga wako katika mkakati wa kukiimarisha kikosi cha timu hiyo kuhakikisha kinarejesha ubingwa wa VPL msimu ujao na pengine nalo kulibeba moja kwa moja baada ya misimu mitatu!

ADVERTISE HERE