Unaambiwa uzi mpya wa Yanga 'unauzika kama njugu', Wananchi wakiendelea kujipatia mtoko wa Kimataifa
Baada ya uzinduzi uliofanyika Jumapili majira ya saa 5 asubuhi, mashabiki wa Yanga walifurika katika duka la Makao Makuu, Jangwani na maduka ya GSM kujipatia mtoko huo
Jezi hizo sasa tayari zimesambaa katika maduka mengi jijini Dar es salaam na hata mikoani, zimeshafika
Misimu iliyopita jezi ya ugenini na ile ya tatu ndizo zilizokuwa zikiuzika zaidi lakini wakati huu ni matoleo yote


Jezi ya nyumbani (kijani) imepata muitikio mkubwa, wengi wakiiona bora pengine kuliko hata matoleo mengine
Ubora wa jezi hii ya nyumbani utauona ukiiweka mikononi...!





ADVERTISE HERE