Mwenendo mbovu wa Yanga umeathiri mapato yake yanayotokana na mashabiki kuingia uwanjani baada ya wengi kukata tamaa imefahamika.
Katika mchezo dhidi ya Mwadui FC Yanga imepata mgao Tsh 110,000/- wakati mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Yanga ilipata mgao wa 358,000/-.
Mapato hayo pia yanaathiriwa na madeni.
Msimu huu mashabiki wa Yanga wamekuwa hawahudhurii kwa wingi uwanjani sababu kuu ikielezwa ni mwenendo wa kutorishisha wa kikosi cha Yanga.
Miaka ya nyuma Yanga ndio timu iliyokuwa ikiongoza kwa mashabiki wake kuingia uwanjani.

ADVERTISE HERE