Baada ya kuingia kambini Avic Town mapema leo, jioni Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz aliendelea na program za mazoezi kukiandaa kikosi chake tayari kwa mikiki mikiki ya msimu mpya wa mashindano 2025/26

ADVERTISE HERE