Ni Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii Septemba 16

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2025
Ni Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii Septemba 16

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kuzindua msimu 2025/26 utapigwa Septemba 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo huo utazikutanisha klabu za Yanga na Simba. Ni baada ya mabadiliko ya kanuni ambayo yamepelekea mfumo wa Ngao ya Jamii kurejeshwa katika utaratibu wa zamani ambao bingwa wa ligi kuu anachuana na bingwa wa kombe la CRDB

Lakini ikitokea mataji yote yamechukuliwa na timu moja, Ngao ya Jamii itakutanisha bingwa wa ligi kuu na timu iliyoshika nafasi ya pili kwenye ligi

Yanga ilitwaa mataji yote mawili msimu uliopita hivyo itachuana na watani zao Simba walioshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya NBC

Mabadiliko hayo yametokana na changamoto ya ratiba kutokana na Tanzania kuandaa michuano ya CHAN itakayofika tamati August 30 na kufuatiwa na kalenda ya michuano ya CAF 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’