Baada ya kurejea kutoka Rwanda ambako juzi walifanikiwa kutwaa taji la Rayon Day kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rayon Sports, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kuanza awamu ya pili ya pre-season
Wananchi wanaendelea kujifua katika uwanja wa KMC Complex, uwanja ambao Yanga itaendelea kuutumia msimu ujao kwa mechi zake za nyumbani kwenye ligi na kombe la CRDB








ADVERTISE HERE