Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi mkoani Morogoro, leo kikiingia siku ya nne.
Asubuhi Yanga imekuwa ikitumia uwanja ulio kwenye hoteli ya Highlands Park wakati jioni wanafanya mazoezi kwenye dimba la Jamhuri.
Morali ya wachezaji iko juu, kila mmoja anajaribu kumshawishi Mwalimu Lwandamina amjumuishe kwenye kikosi cha kwanza.

Siku za mwanzo za mazoezi Lwandamina aliwaambia wachezaji kuwa juhudi za mchezaji ndiyo zitamfanya aingie kwenye kikosi cha kwanza.

ADVERTISE HERE