Uongozi wa Yanga, benchi la ufundi, wachezaji, mapema leo walimtembelea Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Balozi Habib Kambanga na kujitambulisha ikiwa ni sehemu ya matukio kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports hapo kesho








ADVERTISE HERE