Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake katika uwanja wa KMC Complex kuelekea mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports utakaopigwa Ijumaa, August 15 nchini Rwanda
Kesho Jumatano, Yanga inatarajiwa kusafiri kuelekea Rwanda








ADVERTISE HERE