Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo kutokea mkoani Shinyanga ambako kilicheza na Mwadui FC na kufungwa bao 1-0.
Keshokutwa Jumanne Yanga itakuwa uwanja wa Taifa kuikaribisha Mbao FC katika mchezo mwingine wa kiporo.
Yanga imebakiwa na michezo mitatu ambayo yote inapigwa kwenye uwanja wa Taifa.
Iwapo itashinda michezo yote itaweza kumaliza kwenye nafasi ya pili.
Baada ya kucheza na Mbao FC, May 25 itaikaribisha Ruvu Shooting kabla ya kumaliza msimu kwa kuchuana na Azam FC katika uwanja huo huo wa Taifa.

ADVERTISE HERE