Kamwe afichua 'bado kuna vyuma'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2025
Kamwe afichua 'bado kuna vyuma'

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema klabu hiyo bado haijafunga michakato yake ya usajili

Akizungumza jana baada ya hafla ya kusainiwa mkataba wa udhamini baina ya Yanga na kampuni ya Haier, Kamwe alisema wanaweza kuongeza wachezaji watatu kwa kuzingatia mahitaji ya benchi la ufundi

"Usajili bado hatujamaliza, niwaambie mashabiki na wanachama wa Yanga wawe na subira, tunaweza kuongeza hadi wachezaji watatu ambapo wawili ni wachezaji wa ndani na mmoja wa kigeni"

"Tunajenga timu kwa ajili ya mashindano yote ya msimu ujao kwa hiyo lazima tuwe na kikosi kipana kilichosheheni ubora katika kila eneo ili tuweze kupambania makombe yote," alisema Kamwe

Mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji 9 ambapo mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wameongeza nyota watano wa kigeni na wanne wa ndani

Wachezaji wa kigeni ni Moussa Balla Conte, Andy Boyeli, Lassine Kouma, Ecua Celestin na Doumbia

Kwa upande wa wachezaji wa ndani ni Offen Chikola, Aboubakar Nidhar Othman 'Ninju', Mohamed Abdallah 'Casemiro' na Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’