Folz anaandaa kikosi cha maangamizi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2025
Folz anaandaa kikosi cha maangamizi

Kocha Mkuu wa Yanga Romain Folz ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi chake kuelekea msimu mwingine wa mashindano 2025/26

Yanga inajifua katika uwanja wa KMC Complex, Folz akianza rasmi program za pre-season kwa kikosi chake

Kocha huyo raia wa Ufaransa ana takribani wiki moja ya maandalizi kabla ya timu kuelekea Rwanda kushiriki Tamasha la Rayon Sports Day ambalo kilele chake ni August 15 kwa mchezo baina wenyeji Rayon dhidi ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’