Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya SportPesa Pavel Slavkov yuko nchini ambapo leo alimtembelea na kufanya mazungumzo Rais wa Yanga Injinia Hersi Said
Kampuni ya SportPesa ndio wadhamini wakuu wa klabu ya Yanga tangu mwaka 2016, mkataba wao ukielekea ukingoni mwezi huu
Mazungumzo ya kuhuisha mkataba huo yalishaanza pengine sasa yako katika hatua za mwisho
Mwaka 2022 ulisainiwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Tshs bilioni 12 na Milioni 300



ADVERTISE HERE