Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamealikwa kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Septemba 02 hadi Septemba 15
Jumla ya klabu 12 zimealikwa kushiriki michuano hiyo inayokutanisha timu kutoka ukanda wa Afrika Mashariki
Timu nyingine kutoka Tanzania zilizoalikwa kushiriki ni Simba kutoka Tanzania Bara na Mlandege Fc kutoka Visiwani
Hata hivyo ratiba inaweza kuwa changamoto kwa Wananchi kushiriki michuano hiyo

ADVERTISE HERE