Uongozi wa klabu ya Yanga leo umekutana na Benchi la ufundi, wachezaji na watendaji wa Klabu kwa ajili ya utambulisho na semina kuhusu historia, matarajio na majukumu ya kila mmoja ndani ya klabu
Hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Rotana, Jijini Dar es Salaaam.











ADVERTISE HERE