Boyeli tayari kwa changamoto mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
30 Jul 2025
Boyeli tayari kwa changamoto mpya Yanga

Mshambuliaji mpya wa Yanga Andy Boyeli tayari yuko jijini Dar es salaam akisubiri utambulisho wake rasmi wa kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara

Boyeli raia wa DR Congo anatua Yanga akitokea klabu ya Sekhukhune inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini

Inaelezwa Kocha Mpya wa Yanga Romain Folz ndiye aliyependekeza usajili wa mshambuliaji huyo ambaye msimu uliopita aliifunga  Sekhukhune mabao saba ligi kuu ya Afrika Kusini ambayo mfungaji wake bora alifunga mabao 14

Msimu wa 2022/23 Boyeli aliitumikia Power Dynamos ya Zambia ambapo alitwaa kiatu cha mfungaji bora baada ya kufunga mabao 18 huku akitwaa tuzo ya MVP

Boyeli ndiye mrithi wa Kennedy Musonda aliyetimkia Israel baada ya mkataba wake kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE →
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE →
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE →
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE →
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE →
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE →
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE →