Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amerejea kwao DR Congo kwa ajili ya majukumu ya timu Taifa, imefahamika.
Licha ya kuinoa Yanga, Zahera bado ni kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo.
DR Congo itacheza mchezo wa kirafiki na Nigeria, moja ya timu zilizofuzu kwa michuano ya kombe la dunia kutoka barani Afrika.
Mchezo huo utapigwa May 28, 2018.

ADVERTISE HERE