Tumefanya usajili bora zaidi katika dirisha hili - Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2025
Tumefanya usajili bora zaidi katika dirisha hili - Hersi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewahakikishia Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kuwa katika dirisha hili la usajili lililofunguliwa Julai 1, wamefanya usajili bora zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote

Hersi ametoa kauli hiyo Kigamboni leo baada ya kushiriki mechi ya hisani Kigamboni All Stars

Mwenyekiti huyo wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA) amewataka Wananchi watulie wakati wakikamilisha michakato hiyo ya usajili lakini amewahakikishia pale watakapoanza kutambulisha wachezaji hao, watathibitisha kauli yake

"Usajili wa msimu huu utakuwa ni usajili bora zaidi katika usajili tulizowahi kuzifanya katika miaka miaka ya hivi karibuni"

"Nawasihi wana Yanga wawe watulivu tukianza kutambulisha wataelewa hiki ninachozingumza, " alisema Hersi

Mpaka sasa Yanga inaonekana 'kukimbiza' katika dirisha la usajili ikitajwa kuzinasa saini za nyota mahiri kutoka klabu mbalimbali

Yanga huenda ikaanza kutambulisha wachezaji wapya kuanza wiki ijayo, kabla ya kuanza maandalizi ya pre-season mwishoni mwa mwezi huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’